Sina mengi ya kusema ila kwa kifupi tu mmetuepusha na matapeli wa kwenye mitandao wanaotuuzia Ngombe, Mbuzi na Kondoo lakini ukiwatumia pesa huwaoni tena, sasa hivi tukitaka mifugo ya kununua tunaingia tu website ya Guydon Farm & Ranch
Napenda kuwapongeza sana Guydon Ranch wakati nimeingia kwenye internet nikitafuta wapi ntapata Ng’ombe wa maziwa, haikuwa rahisi kwa Tanzania kupata website inayojihusisha na kuuza mifugo, nilikuwa nakutana na website za nchi nyingine tu, lakini baada ya kuendelea kutafuta kwenye internet nikakutana na Guydon Farm & Ranch website nilipo ifungua nikakutana na link ya Livestock, nilifurahi sana baada ya kufungua hiyo link nikakutana na orodha ya mifugo mnayouza na sehemu ilipo na jinsi ya Kwenda kuiona. Ahsanteni sana kwa kutuanzishia huduma hii hapa nchini Tanzania.
Kwa miaka mingi tumekuwa tunatapeliwa wakati tunatafuta Ng’ombe wa maziwa wa kununua kwa kupitia mitandao isiyo aminika lakini tangu Guydon Farm & Ranch mlivyoanzisha tofuti yetu ya LIVESTOCK FOR SALE tumekuwa tukiuziwa Ng’ombe kutoka kwenye chanzo kinachoaminika bila kutapeliwa, Mungu awabariki sana.
Ahsante sana Guydon Farm & Ranch kwa kutuuzia Ngo’mbe bora wa maziwa kwa sasa mimi na familia yangu tunafurahia jinsi Ng’ombe wetu anavyotoa maziwa mengi.
I find all staff very friendly, helpful and always there to provide that little bit extra.